Thursday, June 30, 2011

DONDOSHA MKONOSWETA!!


Mafinga Iringa.


Mikoa ya Iringa na Mbeya inafanya kampeni kabambe ya kudongosha 'mkonosweta' kwa minajili ya kupunguza uwezekano wa maambukizi ya Ukimwi. Mbali na faida hii inayopigiwa chapuo na mikoa tajwa, je kuna faida zozote ya kuwa na mkonosweta?

Labels:

Wednesday, June 29, 2011

VYUNGU VYA MAUA
Nilikwisha kurudi jijini Mbeya tangu juma lililopita. Sijaweza kublogu kuwajulisha yatokanayo na safari yangu kwa sababu ambayo wote mnaweza KUBASHIRI. Naam wote mmepatia.Leo imetokea bahati tu 'upo'. Safari yangu ilikuwa na breakdown nyingi, moja kati ya hizo ilitufikisha katika kijiji cha Rungemba, katikati ya Ifunda na Mafinga. Hapo kuna wafinyanzi wabunifu kama picha zinavyojielekeza.


Vyungu vya maua. Kwa mbali basi letu likikarabariwa.Kwa karibu'Buti'kwa Mbele'Buti' kwa nyuma

Chungu kimoja huuzwa kwa 15, 000/-, kwa watalii inafika hata 25,000/-

Monday, June 20, 2011

ADIMIKO

Ndugu mnaotembelea kibaraza hiki, samahani kwa kutotoa mpya. Niko safarini moro na dar alafu nimesahau modemu yangu mbeya. Nitarejea hewani hivi punde.

Wednesday, June 15, 2011

GARI LINAUZWA

MAZDA PREMACYYear / Month 2001
Odometer 106,138 km
Displacement 1,830 cc
Steering Right
Transmission Automatic
Ex/Interior Color Gray
Fuel Petrol
Door 5
No Of Passengers 5

BEI MILIONI 15

MAWASILIANO 0754316561 AU 0717192362 AU swarioba@yahoo.co.uk

Labels:

Tuesday, June 14, 2011

UJINGA BUSARA WA FLEXIBLESsource: The Guardian (Tanzania)13/06/2011

Labels:

Monday, June 13, 2011

Never Joke a desperate person. Read on:

There's this guy sitting at a bar, just looking at his drink. He stays
like that for half an hour. Then this big trouble-making truck driver
steps next to him, takes the drink from the guy, and drinks it all
down.
The poor man starts crying. The truck driver says: "Come on man, I was
just joking. Here, I'll buy you another drink. I just can't stand to
see a man crying."

"No, it's not that. This is the worst day of my life. First, I fall
asleep, and I'm late to my office. My boss, outraged, fires me. When I
leave the building, to go to my car, I find out it was stolen. The
police say they can do nothing. I get a cab to return home, and when I
leave it, I remember I left my wallet and credit cards there but the
cab had already driven away. I go home, and when I get there, I find
my wife in bed with the gardener. I leave home and come to this bar.
And when I'm thinking about putting an end to my life, you show up and
drink my poison . . ."

Labels:

Wednesday, June 08, 2011

RENATHA BENEDICTO UNATAFUTWA HUKU...!!


Mubelwa Bandio katika pozi

Ndugu. Kwa mara nyingine nawakilisha ombi la kunisaidia kutangaza (wakati wowote upatapo nafasi) kuhusu Dada mdogo RENATHA BENEDICTO ambaye tumepoteana kwa takriban miaka 12 sasa.

Renatha alikuwa mwanafunzi wa shule ya Sekondari Kibasila jijini Dar kati ya mwaka 1998 - 2001 na baada ya hapo alienda Songea TTC kujiunga na masomo ya ualimu. Pia alikuwa kati ya wahanga wa ajali mbaya ya Tawfiq iliyotokea tarehe kama ya leo mwaka 1999 ambapo alikuwa msaada mkubwa saana kuokoa maisha yangu. (Maelezo kamili yako HAPA KWA MUBELWA MWENYEWE)

Niliwasiliana naye kwa miaka miwili iliyofuata mpaka alipoenda chuoni Songea nami nikaondoka nchini mwaka 2003 na kwa miaka mingi sasa nimekuwa nikijitahidi saana kumtafuta bila mafanikio. Naomba kama anaweza kusoma ama kuna anayesoma na kumfahamu anisaidie kuwasiliana naye.
Email yangu ni changamoto@gmail.com

NATANGULIZA SHUKRANI

Labels:

Friday, June 03, 2011

KINGO LEO


'Mama yangu! huyu mbwa katumwa nini?''Ehu! haniachii tu''Shinzi!! kumbe...'

Labels:

Thursday, June 02, 2011

SOKO LA UHINDINI MBEYA LILIVYOPIGWA NYUNDO

Wazee wa jiji wameanza mpango wao wa kujenga soko la kisasa lilipokuwa soko la Uhindini liloungua miezi michache iliyopita. Kuanzia juzi nyundo mtindo mmoja kwa ajili ya ujenzi huo unaoongelewa na wengi kuwa utakuwa babu kubwa. Hakika hauwezi kula muwa bila kukuta fundo. Soko tulilizoea lakini wazee wa mji wamelizoea zaidi na sasa tunatarajia soko jipya.Wazee wa kazi kaziniMkabala na Tanesco, mitaa ya wakina-ChapaulingePicha kutokea NMB Mbalizi RoadUpande wa Lupa Way mkabala na Airtel na tiGOGROUND ZERO

Labels: