HAPA NA PALE MTWARA
On my background is the Tanzania's naturally deepest port.
In the streets with TIA colleagues
Labels: Mtwara
WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
HAPA NA PALE MTWARA
Labels: Mtwara
7 Comments:
Mependedha wewe na sarawili nyeusi/kijivu iliyokoa na shati jeupe, metoka mwaaaake!
kumbe kwenye fasheni nimo? asante nukta 77
Tukiponda tukasema, basi Tukipenda tuseme pia, umependeza John na mpangilio wako wa uvaaji katika picha ya pili. Ile ya kwanza imependeza ila ilikuwa "giza" kila kona, isipokuwa mkanda tu, ambao haukutosha kuweka "contrast" nzuri. Hii ya pili, ah, ukweli ndiyo huo. Hapo picha ya pili, kesho yake unaweza kutilia viatu vya rangi ya kufanana na mkanda na ukatoka 'chichaaaa' watu wakadhani umevunja kabati upya, kumbe siri ya urembo mpangilio tu.
Ni kweli umipindiza kweli na haswa upo kwenye fasheni:-)
yasinta ngonyani athari za likizo songea zinajidhihirisha kwenye ulimi ukiongea mpaka kwenye kompyuta ukitaipu maneno. karibu tena
Sio kwenye fasheni tu mkuu, upo katika kila nyanja. Tupo pamoja mkuu!
Sijawahi kufika Mtwara!:-(
Post a Comment
<< Home