SAUTI YA BARAGUMU
WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
7 Comments:
....Napenda sana wanafunzi wabunifu, kama huyo anafundishwa na mwalimu KP.Kwa hali tuliyonayo, hilo jibu ni sahihi kabisa.
ha ha ha haaaa nilikutana na kibonzo hiki kule kwa Mwanasosholojia. Nikasema wanafunzi walikuwa sahihi ila niwakumbushe pale waliposahau....
KIJANI inawakilisha nyasi za Tanzania ambazo Pesambili alisema tutakula ili dege la mkuu linunuliwe.
NJANO inawawakilisha rasilimali za 'waiti pipo' kule North Mara na kwingineko kufananako....
NYEUSI watoto weshasema....
BLUU kwa leo sisemi
Duh!
"NJANO inawawakilisha rasilimali za 'waiti pipo' kule North Mara na kwingineko kufananako...."
Nami nilikuwa na mawazo kama haya ya Bwana Fadhy. Kazi tunayo tena pevu!
This comment has been removed by the author.
Bwana Joseph Anyunywisye Mwaipopo, kwanza naomba nijiunge na bulogu yako.
Pili ningependa kusema hah hah haaaaa, ... nimicheka saaana. Yaan iyo katuni ni kool & kute.
Tatu napenda kutuma salamu kwa ccm na serikali yake kuhusiana na kikatuni hicho.
Ujumbe - salamu ni robo ya kukutana.
Chaguo la Muziki - Napenda salamu zangu zisindikizwe na kibao kilichopingwa na Sir Stivin Wassila wakati akiwa anatunga sheria huku akimwaga mbonji.
Kabla sijayoyoma, nampa big 5 bwana Mtanga kwa ufafanuzi wake. kool pia.
Jiniaz Popkorn karibu
Post a Comment
<< Home