Wednesday, September 03, 2008

Malangali High School 1998 Leo tena nimepekua na kuikuta hii niliyopigwa mwaka 1998. Darasa lenyewe mie leo hoi. Nilikuwa nimekibwaga kitabu Petals of Blood cha gwiji Ngugi wa Thiong'o (kulia mezani) na badala yake nikazama kwenye fani niliyokuwa niikiizimia: Kuchora. Ukitaka tugombane leo niambia nichore hata Fido Digo.

Labels:

Tuesday, September 02, 2008

Barack Obama I & II
Mgombea Urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrats, Seneta Barack Obama (Barack Obama II, kulia, 1961 to-date) akiwa na Baba yake, marehemu Barack Omama (Barack Obama I, 1936-1982). Jamaa huyu jina lake lipo katika ndimi za waswahili wengi sasa. Ukoo wake huu hapa

Labels: