Monday, March 12, 2007

Jiwe Limebakwa Au

Jiwe hili liko kandokando ya barabara ya Iringa/Mbeya-Dar es Salaam, kidogo kabla ya kufika Ilula ukitokea Iringa. Baadhi ya watu wanasema ni ubunifu wa hali ya juu ya kijasiriamali na wengine wanadai ni uchafuzi wa mazingira. Eti jiwe limeonewa kwa kunyang’anywa uasilia wake. Mie sijui.

Kwa Michuzi Tu
Eti Michuzi weweza kunitajia hapa ni wapi. Kumbukumbu zangu ushawahi kupita hapa. Wengine pia ruksa kubashiri ama kupataja.