Wednesday, December 17, 2008

Obama mwe!
Maswali kibao, majibu machace. Mnaopenda picha za zamani za Obama tembeleeni hapa mzione.

Friday, December 05, 2008

Ndanda Kosovo ndani ya Nyumba Tena
Yule Mkongomani aliyetikisa sana anga za Tanzania kwa muziki wa dansi yenye mirindimo ya Ki-Kongo almaarufu Ndanda Kosovo ameibuka kivyengine. Yupo na bendi inaitwa Watoto wa Tembo International. Haya tusubiri nini katuandalia Krisimasi hii. Sie yetu macho na starehe tu wakongo wanaposhindana.

Labels:

Monday, December 01, 2008

Chelewa Chelewa Harusini Stivini na mkewe (jina la shemeji wangu nimilisahau) wakimeremetaShida ya kuchelewa kwenye sherehe ni hii ya kupata kiti sehemu ambazo waliowahi huwa-ga hawazitaki ama wanazikwepa-ga. Juzi nilishiriki harusi moja. Ukikaa sehemu hii watu waendao huko woote lazima wapite kukusalimia ama kabla ya kuingia huko ama baada ya kutoka huko. Lakini mambo yetu yale kama kawaida.