Monday, June 20, 2011

ADIMIKO

Ndugu mnaotembelea kibaraza hiki, samahani kwa kutotoa mpya. Niko safarini moro na dar alafu nimesahau modemu yangu mbeya. Nitarejea hewani hivi punde.

3 Comments:

At 11:57 AM, Blogger Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Cha muhimu uzima tu. Safari njema. Tutakusubiri....

 
At 10:17 PM, Blogger emuthree said...

Safari njema mkuu

 
At 9:19 AM, Blogger Simon Kitururu said...

Pamoja sana Mkuu!

Safari njema MKUU ingawa inasemekana msafiri KAFIRI!:-(

 

Post a Comment

<< Home