Tuesday, August 16, 2011

WATOTO WAKITOROKA
Leo mchana mitaa ya Ilala Boma. Nikawakuta watoto hawa wa Shule ya Msingi Mkoani wakitoroka kwa mtindo huo. Palepale nikapata jibu kuwa tabia ya utoro bungeni huanzia shuleni.



Juu na chini madogo wakitoroka


Labels:

7 Comments:

At 9:02 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

Unafikiri! nikweli kabisa!!!

 
At 11:02 AM, Blogger chib said...

Sijui na ufisadi huanzia wapi??

 
At 3:57 AM, Blogger SIMON KITURURU said...

Mmmmh!

 
At 3:42 PM, Blogger Swahili na Waswahili said...

Kwikwikwi,kaka wa mimi Kitururu mbonaumeguna tuu? au umekumbuka enzi hizo!!!!!

 
At 7:13 AM, Blogger SIMON KITURURU said...

@Dada R:Umenistukia kumbe!:-)

 
At 2:26 AM, Blogger emu-three said...

Ndio maana wenzetu wakichagua kiongozi wanajaribu kumchimba mtu kuanzia utotoni!

 
At 8:38 AM, Blogger Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Mwalimu;

Umepotea na natumaini huko uliko ni kwema. Naunga mkono swali la Chib: Ufisadi nao huanzia wapi ???

Nilikuwa napita hapa kusema kwamba sasa nimerudi tena rasmi. Tupo pamoja !!!

http://matondo.blogspot.com/2011/12/wanablogu-wenzangu-na-wapenzi-wote-wa.html

 

Post a Comment

<< Home