Monday, July 25, 2011

KWAHERI PROF SAMUEL MUSHIProf Samuel Mushi (pichani)hatunaye. Nimeweka tanzia hii kama kumbukumbu yangu binafi kwani alikuwa mshauri wangu binafi wa kitaaluma (academic adviser )nilipokuwa UDSM (2000-2003)

RIP PROFESSOR!

Labels:

1 Comments:

At 2:10 PM, Blogger Goodman Manyanya Phiri said...

Kwa heri, Prof!

 

Post a Comment

<< Home