Thursday, August 28, 2008

Wake wa Mzee Nelson Mandela

Graca (kushoto) na mkongwe Winnie. Go Mandela go! Picha kwa hisani ya blogu ya Chemi Chemponda

Labels:

Monday, August 18, 2008

Kizungu Noma!
Hii mimeitoa live Chuo Kikuu Mlimani. Tufike pahala tukubaliane kuwa Kimombo kina wenyewe, au siyo?

Labels:

Friday, August 15, 2008

Wachekeshaji/Wavutiaji Biashara
Hapa kwa nyuma ni almaarufu Mzee Small Wangamba na anonymous anayevaa kama Chaplain. Hawa jamaa huwa wanavutia sana unapokuwa na banda lako la biashara


Hawa wanaume wanaigiza kama mwanaume na mwanamke kwa maigizo na kucheza nyimbo za aina-aina.
Kati ya vitu vinavyonipeleka Saba-Saba ni wachekeshaji ama wavutiaji. vingine vinafuatia

Labels:

Wednesday, August 13, 2008


Namimi Nilikuwemo

Picha hii niliichora mwaka 1998 nikiwa form 6 Malangali. Wakati huo ilikuwa bonge la hobi nikijiita Public Figure. Juzi nimefanikiwa kuipata hii. Zingine zilipotea. Leo siwezi hata kumchora fido-dido. Times change!

Labels: