Tuesday, August 16, 2011

WATOTO WAKITOROKA
Leo mchana mitaa ya Ilala Boma. Nikawakuta watoto hawa wa Shule ya Msingi Mkoani wakitoroka kwa mtindo huo. Palepale nikapata jibu kuwa tabia ya utoro bungeni huanzia shuleni.Juu na chini madogo wakitoroka


Labels:

Sunday, August 07, 2011

HAPA NA PALE MTWARA


On my background is the Tanzania's naturally deepest port.In the streets with TIA colleagues

Labels:

Monday, August 01, 2011

NIKO 'NTWARA'
Nimetembelea maeneo ya kusini mwa Tanzania. Mtwara hakika kumekucha.Picha ninazo tele na nitaziweka hapa hapa.


Mitaani
Daraja la Mkapa nikiwa njiani

Labels: