Monday, August 30, 2010

MAMBO YA MAPENZIHIZI NI ISHARA 12 KUONYESHA UNAMPENDA MPENZI WAKO

12 Ways to Know That You Love Someone


TWELVE:
You talk with him/her late at night and when you go to bed you still think of him/her.

ELEVEN:
You walk really slowly when you are with him/her.

TEN:
You don't feel Ok when he/she is far away.

NINE:
You smile when you hear his/her voice.

EIGHT:
When you look at him/her,you do not see other people around you. You see only him/her.

SIX:
He/She is everything you want to think.

FIVE:
You realise that you smile every time you look at him/her.

FOUR:
You would do anything to see him/her.

THREE:
While you have been reading this, there was a person in your mind all the time.

TWO:
You've been so busy thinking of that person that you didn't notice that number 7 is missing.

ONE:
You are going to check above if that's true and now you are silently laughing to yourself.

Labels: ,

Thursday, August 26, 2010

USHUHUDA KWA MCHUNGAJIA PRETTYGIRL WENT TO CHURCH, TO MAKE A CONFESSION TO A PASTOR. THE PASTOR ASKED HER WHAT THE MATTER WAS. SHE THEN SAID 'MY BOYFRIEND DID SOMETHING BAD TO ME.' THE PASTOR NOW KISSED HER AND SAID 'DID HE DO THIS TO U"?

SHE SAID NO,

THE PASTOR HUGGED HER AND SAID 'DID HE DO THIS TO U"?

SHE SAID NO,

THE PASTOR NOW PULLED OFF HER CLOTHES AND SAID 'DID HE DO THIS TO U"?

SHE SAID NO,

THE PASTOR NOW MADE LOVE TO HER AND SAID 'DID HE DO THIS TO U"?

SHE SAID NO,


THEN THE PASTOR SAID 'WHATT IS THE THING HE DID THAT IS MAKING YOU TO BE CRYING'?

THEN THE GIRL SAID 'HE GAVE ME AIDS.'

GUESS WHAT ENSUED...

Labels: ,

Tuesday, August 24, 2010

UJASIRIAMALIMgaagaa na upwa hali wali mkavu. Nikiwa nahangaisha akili kuhusu nini nipost kwenye blogu nakutana na email ikiwa na picha hii. Jamaa anauliza hizi tukutuku zina uhusiano na dada yetu JayDee au ni lugha gongana tu.

Labels:

Saturday, August 21, 2010

KIZURI SHURTI ULE NA NDUGUYOHuyu jamaa kwa kweli amekuwa si mchoyo wa taaluma na uzoefu wake. Ukiuliza katika fani yake tu wajibiwa. Ni mfano wa kuigwa. Najua wamjuea laikini mtembelee ukitamani muulize swali. Big up sana bro!!!

Labels:

Wednesday, August 18, 2010

MWAKA HUU HAPATOSHI HAITI NA MBEYAHuyu ni Wyclef Jean, mwanamuziki wa muziki wa kuruka-ruka (hip hop) ya ki-Marekani. Anagombea urais wa kisiwa cha Haiti. Kabla hajadhani kuwa atatamani kukiongoza kisiwa hicho kama rais alikuwa na ndoto ya endapo angekua rais wa Marekani. Kwenye ghani zake aliimba:

"If I was president,

I'd get elected on Friday,

Assassinated on Saturday,

And buried on Sunday,

I'd be back at work on Monday."
Na huyu ni Joseph Mbilinyi, mwanamuziki wa muziki wa kuruka-ruka (hip hop)wa ki-Tanzania. Mwaka huu anawania ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la Mbeya mjini. Ghani zake zimekuwa zikichukuliwa ni za kimapinduzi na kutetea wanyonge. Sehemu ya ghani hizo iko katika wimbo Hali Halisi. (Nimepata tafsiri yake ya kiingereza na naiweka hivyo hivyo kwa kuchelea kuitafsiri katika kiswahili ambacho hakuimba yeye):

"Everyday is us against the police and the police against us

The judge at the court is waiting for us

The prison officer is waiting for us"

Labels:

Tuesday, August 10, 2010

KISWAHILI CHA MTAANI

Katika kila lugha kuna lugha ya matumizi makuu na ile ya matumizi ya mitaahi. Maneno ya mitaani huja, hutumika na mengine huondoka. Mengine hurasimishwa na kutumiaka katika matumizi rasmi. Hii hutokana na kutokuwepo kwa neno lifaalo kabla ya hilo la matumizi ya kimtaa-mtaa. Mfano, katika miaka ya 80 kuliibuka aina ya uhalifu wa kudanganya watu. "Wasela" wakauita wizi huu "utapeli". Somo likomee hapa.


Kinyago ya kimakonde

Kiswahili cha mtaaani cha siku hizi kina maneno haya hapa chini. Nachelea kujiaminisha kuwa naelewa maana zake vema. Naomba mwenye kuyaelewa anisaidie. Profesa Matondo nadhani anayajua haya.

kuuza nyago (inatokana na 'kinyago')
mpago mzima
Kusepa
Ku-show love

Labels: ,