Thursday, June 30, 2011

DONDOSHA MKONOSWETA!!


Mafinga Iringa.


Mikoa ya Iringa na Mbeya inafanya kampeni kabambe ya kudongosha 'mkonosweta' kwa minajili ya kupunguza uwezekano wa maambukizi ya Ukimwi. Mbali na faida hii inayopigiwa chapuo na mikoa tajwa, je kuna faida zozote ya kuwa na mkonosweta?

Labels:

3 Comments:

At 12:21 PM, Blogger Fadhy Mtanga said...

aisee sijajua kuna kampeni kabambe ya kudondosha mkonosweta a.k.a lile jina lake lile. Nakumbuka zamani tukiwa shule watu walikuwa wanachekwa sana. Kuna wakati HP (head prefect) wetu alikuwa mkuda ile mbaya... Wananchi walipojua hajavua bado kono la sweta lake, wakawa wanamwandika ovyo kila mahali. Ikamlazimu kuacha unoko....

Najua sijajibu swali.....

 
At 1:43 AM, Blogger emuthree said...

'mkonosweta?'' nimajaribu kuwaza, ...ngoja niwaze zaidi...mkuu tupo pamoja...maana nashangaa kama kuna watu wanaishi bado na mkono sweta , watu wazima, mmmh, hivi mambo yanaendaje ukiwa...mmh, mbona haiji! Nawjaribu kuwaza tu mkuu!

 
At 9:03 AM, Blogger Rachel Siwa said...

hahhahah mkono SWETA!!!

 

Post a Comment

<< Home