Friday, March 20, 2009

Tupige Kura!
Hadithi ya mwenzetu Sandra Mushi -JASMINE- inafanya vizuri- angalia hapa. Tumalizie kazi ya kuipigia kura. Hima kapige kura hapa

Labels:

Friday, March 13, 2009

'Midude' Noma!

Tofauti inajidhihirisha. Kabla ya 'midude'

Hebu mcheki

Anavyong'ara

Baada ya 'midude' sasa........ Ebwana eee! Asaidiwe jamani!

Thursday, March 05, 2009

Hapa kuna watu wangapi?
Tehe! Tehe! Nipe jibu

Tuesday, March 03, 2009

Mtangazaji Rehema Mwakangale Hatunaye Buriani

Alionekana (kulia) kuwa bado ana safari ndefu ya mafanikio katika fani yake lakini Mungu alimuandalia mafanikio Huko kwake. Habari zipo hapa na hapa.Mungu amrehemu Rehema, Amen.

Monday, March 02, 2009


Hivi Uwanja huu unaitwaje?Kila mmoja anauita kivyake pengine kwa kutofahamu, kulazimisha mambo ama kupendelea sehemu fulani. Huku unaitwa hivi(nahisi hapa ni sahihi). Huku unaitwa hivi na hivi. Malimwengu!