Tuesday, August 24, 2010

UJASIRIAMALIMgaagaa na upwa hali wali mkavu. Nikiwa nahangaisha akili kuhusu nini nipost kwenye blogu nakutana na email ikiwa na picha hii. Jamaa anauliza hizi tukutuku zina uhusiano na dada yetu JayDee au ni lugha gongana tu.

Labels:

3 Comments:

At 3:22 AM, Blogger chib said...

Karibu tutaziona zinazoitwa Mwaipopo sasa.

 
At 4:42 AM, Blogger Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Wachina hawachezi ati!

 
At 6:07 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

Kaazi kwelikweli hakuna mchezo ngoja nami nianzishe au niwauzie jina langu..lol

 

Post a Comment

<< Home