Saturday, August 21, 2010

KIZURI SHURTI ULE NA NDUGUYO



Huyu jamaa kwa kweli amekuwa si mchoyo wa taaluma na uzoefu wake. Ukiuliza katika fani yake tu wajibiwa. Ni mfano wa kuigwa. Najua wamjuea laikini mtembelee ukitamani muulize swali. Big up sana bro!!!

Labels:

4 Comments:

At 2:35 AM, Blogger Subi Nukta said...

Kweli huyu jamaa amejaliwa roho ya pekee ya ajabu sana. Amejaa uungwana wa hali ya juu. Hata ichukue muda kiasi gani, jamaa atatafuta majibu kwa maswali yako na kukuelekeza. Amejaaliwa utu wa hali ya juu. Namsifu sana sana Bennet! Mpole na mkarimu kwa kumsoma anavyowasilianana watu.

 
At 2:45 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

Hakika ni kweli kabisa si mchoyo kaka huyo. na chochote umuulizacho anakujibu. Ni furaha kuwa na kaka kama yeye. Ahsante kaka John kuliona hili na kuliandika pia ahsante kaka Bennet.

 
At 5:35 AM, Blogger emuthree said...

Na kweli sio mchoyo kabisa, nasema tena sio mchoyo kabisaaaa

 
At 4:45 AM, Blogger Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Kilimo Kwanza siyo kupiga makelele majukwaani. Tungekuwa na wataalamu wa kilimo kama huyu tungesonga mbele. Safi sana!

 

Post a Comment

<< Home