Huna Matumaini, Umekata Tamaa?
Hebu msikilize Lee Ann Womack katika I Hope You Dace, kwenye lvideo Songi hili huwa sichoki kulisikilizaga hasa ninapokataga tamaa. [wimbo umetumika pia katika filamu ya The Family That Preys]

Huna Matumaini, Umekata Tamaa?

Miaka Miwili Bila Lucky Dube
Binafsi namkumbuka sana, hasa show zake. Ninapokumbuka kifo chake (18/10/2007) cha kudungwa risasi na majahili ambao walitaka kumpora gari huwa naliwazwa na wimbo wake Crazy World. Ilisemekana wauaji wake hawakujua kuwa mtu waliyekuwa wakimuwinda alikuwa mwanamuziki mashuhuri na inadaiwa walisema: " We have killed tha man!" Kila mwaka nakumbuka mistari hii iliyopo katika Crazy World (songi kamili videoni)Kanumba huyo tena Jamani

Labels: sinema
Majek Then
Majek NowLabels: reminiscence