Monday, October 19, 2009

Miaka Miwili Bila Lucky Dube

Binafsi namkumbuka sana, hasa show zake. Ninapokumbuka kifo chake (18/10/2007) cha kudungwa risasi na majahili ambao walitaka kumpora gari huwa naliwazwa na wimbo wake Crazy World. Ilisemekana wauaji wake hawakujua kuwa mtu waliyekuwa wakimuwinda alikuwa mwanamuziki mashuhuri na inadaiwa walisema: " We have killed tha man!" Kila mwaka nakumbuka mistari hii iliyopo katika Crazy World (songi kamili videoni)

People dying like flies every day
You read about it in the news
But you don't believe it
You'll only know about it
When the man in the long black coat
Knocks on your door
'Cause you're his next victim.......

1 Comments:

At 6:02 AM, Blogger chib said...

Waliomuua Dube, walaaniwe kabisa

 

Post a Comment

<< Home