Thursday, October 15, 2009

Kanumba huyo tena Jamani


Safari hii na £ovely Gamble. Trailer yake inaonyesha huyu jamaa sasa katoka kivyengine.

Starring Steven Kanumba na Mekki Macha

Director R. Okemwa

Editor B. Baraka

Producer F. Eyembe

trela iko matawi katika link hapa
Labels:

1 Comments:

At 4:52 AM, Blogger chib said...

Tunamtakia mafanikio tu.
Mkuu nakushukuru sana kwa kunitembelea sebuleni kwangu

 

Post a Comment

<< Home