Tuesday, October 20, 2009

Huna Matumaini, Umekata Tamaa?

Hebu msikilize Lee Ann Womack katika I Hope You Dace, kwenye lvideo Songi hili huwa sichoki kulisikilizaga hasa ninapokataga tamaa. [wimbo umetumika pia katika filamu ya The Family That Preys]4 Comments:

At 8:05 AM, Blogger chib said...

Muhimu sana kujua namna ya kupoza mawazo.

 
At 4:25 PM, Blogger Masangu Matondo Nzuzullima said...

Hapa umenipata. Muziki wa "country" ndiyo muziki wangu mimi, na ndio umetawala katika "kinisafirishacho" changu. Nyimbo nyingi za "country" ni nzuri na waimbaji huimba mambo ambayo unaweza kuyaona maishani na ni nyimbo zinazotia moyo sana. Nyimbo nyingi za akina Alan Jackson, kenny chesney, Shania Twain, Keith Urban, Toby Keith, George Strait, Reba McEntire, Dolly Parton, Martina McBride, Brad Paisley, Blake Shelton (sikiliza The Baby - http://nyimbozadini.blogspot.com/2009/01/baby-blake-shelton.html), Josh Turner (sikiliza Me and God - http://nyimbozadini.blogspot.com/2008/12/mimi-na-mungu-josh-turner.html), Carrie Underwood (sikiliza Jesus takes the Wheel - http://www.youtube.com/watch?v=Ky4rfA_tebY), Gretchen Wilson, Dixie Chicks na wengineo zinasuuza, kutia moyo na kuliwaza sana.

Huwa nagombana na watu wanaoingia katika "kinisafirishacho" changu na kuweka rap ambako ujumbe muhimu ni "shake it, shake it..." na matusi ya kila aina.

 
At 1:41 AM, Blogger John Mwaipopo said...

dokta nimekusoma ngoja nikong'oli hizo links nami nipate 'kinisafirishacho'. ha! ha! ha1

 
At 1:41 AM, Blogger John Mwaipopo said...

dokta nimekusoma ngoja nikong'oli hizo links nami nipate 'kinisafirishacho'. ha! ha! ha1

 

Post a Comment

<< Home