Huna Matumaini, Umekata Tamaa?
Hebu msikilize Lee Ann Womack katika I Hope You Dace, kwenye lvideo Songi hili huwa sichoki kulisikilizaga hasa ninapokataga tamaa. [wimbo umetumika pia katika filamu ya  The Family That Preys]

WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
Huna Matumaini, Umekata Tamaa?

Miaka Miwili Bila Lucky Dube
 Binafsi namkumbuka sana, hasa show zake. Ninapokumbuka kifo chake (18/10/2007) cha kudungwa risasi na majahili ambao walitaka kumpora gari huwa naliwazwa na wimbo wake Crazy World. Ilisemekana wauaji wake hawakujua kuwa mtu waliyekuwa wakimuwinda alikuwa mwanamuziki mashuhuri na inadaiwa walisema: " We have killed tha man!" Kila mwaka nakumbuka mistari hii iliyopo katika Crazy World (songi kamili videoni)
Binafsi namkumbuka sana, hasa show zake. Ninapokumbuka kifo chake (18/10/2007) cha kudungwa risasi na majahili ambao walitaka kumpora gari huwa naliwazwa na wimbo wake Crazy World. Ilisemekana wauaji wake hawakujua kuwa mtu waliyekuwa wakimuwinda alikuwa mwanamuziki mashuhuri na inadaiwa walisema: " We have killed tha man!" Kila mwaka nakumbuka mistari hii iliyopo katika Crazy World (songi kamili videoni)Kanumba huyo tena Jamani

Labels: sinema
 Majek Then
                                                                       Majek Then Majek Now
                                                                      Majek NowLabels: reminiscence