Wednesday, December 17, 2008

Obama mwe!
Maswali kibao, majibu machace. Mnaopenda picha za zamani za Obama tembeleeni hapa mzione.

5 Comments:

At 10:12 AM, Blogger SIMON KITURURU said...

Watu wengi waitwao mashujaa na watakatifu wamefanya mambo mengi kwa watu fulani ni ya ajabu sana ,ingawa ni siri yao na ndio siri isababishayo muheshimiwa kudhaniwa si binadamu wa kawaida.

Hili ndilo liwazingualo watu wakijua kuwa Obama kapitia , bangi na mpaka cocaine na madawa mengine kabla ya kuwa Mheshimiwa.

Sijasikia lakini kama ashawahi kuwa basha!

 
At 8:57 AM, Blogger Fita Lutonja said...

Nimefurahi sana kaka keep it up ila jitahidi kutufahamisha zaidi

 
At 2:06 AM, Blogger John Mwaipopo said...

Simon nshakusoma. huwa tunasahau kuwa kabla ya kuwa mtu mzima lazima kwanza uwe mtoto, halafu uwe kijana na ndipo uwe mtu mzima. Pengine sasa ni wakati wa kufikiria upya namna ya kumchunguza mtu. kiongozi mzuri sio lazima awe 'hakuvutaga' au hakufanya kile. Ujana una mengi na ni lazima viongozi wamewahi kupitia ujana. Mjengwa aliandika kuwa ujana ni kama ukichaa hivi.

Lutonja nimekusoma pia. ntajitahidi.

 
At 7:23 AM, Blogger Markus Mpangala said...

kweli wakamwita OBAMANIA,wakmwita masiha duuu wakasahau amekwisha kuvuta bangi kama enzi zile nyasa na o'level halafu kuvua samaki kibao bila kuchoka, mmm kama enzi zile pale META mbeya mmm kumbe jamaa hakuacha cocaine, labda hata hii basha hatujaambiwa

 
At 7:27 AM, Blogger Bwaya said...

Obama awe mfano. Kwamba unavyomwona mtu leo si lazima awe vivyo hivyo kesho. Usimdharau mtu eti kwa sababu hafananii vigezo vyako! Wakati ujao na huu uliopo, vinaweza kuwa vitu tofauti mno visivyo na uhusiano wowote ule!

 

Post a Comment

<< Home