Friday, August 15, 2008

Wachekeshaji/Wavutiaji Biashara
Hapa kwa nyuma ni almaarufu Mzee Small Wangamba na anonymous anayevaa kama Chaplain. Hawa jamaa huwa wanavutia sana unapokuwa na banda lako la biashara


Hawa wanaume wanaigiza kama mwanaume na mwanamke kwa maigizo na kucheza nyimbo za aina-aina.
Kati ya vitu vinavyonipeleka Saba-Saba ni wachekeshaji ama wavutiaji. vingine vinafuatia

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

<< Home