Monday, August 18, 2008

Kizungu Noma!
Hii mimeitoa live Chuo Kikuu Mlimani. Tufike pahala tukubaliane kuwa Kimombo kina wenyewe, au siyo?

Labels:

1 Comments:

At 8:40 AM, Blogger Christian Bwaya said...

Huwa inatia kinyaa unaposikia mtu akakibofoa kimombo kwa madai kwamba ataonekana kala shule.

Sijui kinachozuia kiswahili kisitumike ni kitu gani?

Hii tabia ya kukweza kimombo inatutia aibu zisizo na miguu. Nshaona shughuli nyingi zinazohudhuriwa na waswahili wanaojua kiswahili, eti wanatumia kimombo. Matokeo yake inakuwa kama niliyoyashuhudia hivi karun mahala: The honor of Guest...aibu!

 

Post a Comment

<< Home