Wednesday, August 13, 2008


Namimi Nilikuwemo

Picha hii niliichora mwaka 1998 nikiwa form 6 Malangali. Wakati huo ilikuwa bonge la hobi nikijiita Public Figure. Juzi nimefanikiwa kuipata hii. Zingine zilipotea. Leo siwezi hata kumchora fido-dido. Times change!

Labels:

2 Comments:

At 12:38 AM, Blogger Alex Mwalyoyo said...

Naikumbuka sana hiyo sanaa. Hata hivyo umenikumbusha mbali sana, enzi za 'Stone Beach' Malangali.
Kweli 'old is gold'.
Kila la kheri kaka.

 
At 4:29 AM, Blogger John Mwaipopo said...

Asante kaka. Kweli siku hazigandi. Ni kama vile juzi tu tulikuwa tunahangaika na maulanzi kule Idumulavanu manadani kila tarehe 25 ya kila mwezi. Mwe! 10 years now!

 

Post a Comment

<< Home