NUKUU ZETU
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu (kulia) akizungumza ndani ya Bunge mjini Dodoma hivi karibuni.
Mbali na kutokuwepo hewani kwa muda fulani, blogu hii kwa wakati fulani itakuwa inachombezwa na nukuu anuai kwa nia ya kutushirikisha maoni ya watu mbalimbali. Leo tunaanza na hii.
Quotabla quotes
"I take my time to read everything that I am supposed to, members of parliament from CCM hardly read anything" Tundu Lissu