NITAREJEA
Nimeadimika mtandaoni kutokana na kuwa 'bize' na mambo fulani. Pia niko safarini morogoro na dar es salaam. sipati muda sana wa kuwa na internet.
Panapo majaliwa nitarejea hewani.
Labels: adimiko
WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
NITAREJEA
Labels: adimiko
3 Comments:
Ahsante kwa taarifa nilitaka kuwaarifu wahusika wakutafute. Rudi karibuni kaka:-)
Utatukuta tu. Cha muhimu ni uzima...
Nakuonea wivu sana kwa kufaidi Milima Uruguru!
Bora ningeadimika mimi mtandaoni hapa kwa sababu zako, Bwana weee!
Post a Comment
<< Home