Monday, January 31, 2011

MALANGALI: KUSANYIKO LA TULIOSOMA HUKO


Wanafunzi wakiwa mbele ya Ukumbi wa chakula na Mihadhara

KUTAKUWA NA KUSANYIKO LA WATU WOTE TULIOSOMA SHULE YA SEKONDARI MALANGALI KWA AJILI YA KUFAHAMIANA NA KUJADILI MASUALA YA PAMOJA NA MAENDELEO. KUSANYIKO LITAKUWA TAREHE 5/2/2011 SAA 9 JIONI CHONYA INN (RIVER SIDE)MBELE KIDOGO YA LANDMARK HOTEL UBUNGO, UKITOKEA UBUNGO. TAFADHALI TUJULISHANE WENGINE. MAWASILIANO PIGA 0787525396

Labels:

Sunday, January 30, 2011

NIPO BADO

Ndugu wasomaji wa blogu na marafiki wote nimekuwa sipatikani kwa sababu za kiufundi. Internet imekuwa haba kwa sababu fulani fulani. Nipatapo wasaa nitarusha 'hasira' zangu za ku-blogu.

stay healthy