Sunday, January 30, 2011

NIPO BADO

Ndugu wasomaji wa blogu na marafiki wote nimekuwa sipatikani kwa sababu za kiufundi. Internet imekuwa haba kwa sababu fulani fulani. Nipatapo wasaa nitarusha 'hasira' zangu za ku-blogu.

stay healthy

3 Comments:

At 10:16 AM, Blogger Fadhy Mtanga said...

bora umejitetea kaka maana adimiko lako limekithiri. kila la kheri urejee 'fasta'

 
At 11:23 AM, Blogger Bwaya said...

Uwe salama huko uliko mkubwa. Tunasubiri hasira.

 
At 4:32 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

ni furaha kuona upo nasi. Pole kwa tatizo hilo...

 

Post a Comment

<< Home