Wednesday, June 17, 2009

Mjengo wetu Baaab Kubwa
mbali na kuwa kiuchumi tuko nyuma kwa mbali saaaaaana ya Uingereza, na pengine nyuma kidogo ya Kenya lakini jengo letu la Bunge ni balaa. Kubwa kichizi. kweli usafi au umaridadi huonyesha si masikini, au?


Hili La Uingereza


Hili la Kenya


Hebu Cheki letu. Lipi Kali?

Labels:

Wednesday, June 10, 2009

Ujirani Mwema!

Mtu na jirani yake hapo. Huyo mzee haamini au anashangaa. Ungekuwa wewe ungefanyaje? Wazungu kweli hamnazo!

Labels:

Tuesday, June 02, 2009

Nashea jina na Mtu maarufu katika Uislamu

Siku moja nikiwa Arusha, August 2003, nilipatwa na maradhi na kwenda zahanati. Daktari aliyekuwa akinitibu alikuwa muislamu mhehe. Aliniuliza kama nilimfahamu muislamu maarufu akiita kwa jina langu. Sikumfahamu. Akanifahamisha nami nikafanya upembuzi na kumfahamu. Leo nawashirikisheni katika kumfahamu.

The Amazing story of how the Arch Bishop
who became Muslim, married a Nun

It was December 23, 1986, two days away from Christmas, when Arch Bishop Martin John Mwaipopo, announced to his congregation that he was leaving Christianity for Islam. The congregation was paralysed with shock on hearing the news, so much so, that his administrator got up from his seat, closed the door and windows, and declared to the church members that the Bishop’s mind had become unhinged, that is, he had gone mad. How could he not think and say so, when only a few minutes earlier, the man had taken out his music instruments and sang so movingly for the church members? Little did they know that inside the Bishop’s heart lay a decision that would blow their minds, and that the entertainment was only a farewell party. Endelea hapa

Labels: