NIMEPOTELEA HUKU JAMANI!!!
Pengine wengine mmekuwa mkijiuliza vipi mbona kimya kimezidi basi jibu ni hili nimefungwa kuanzia mwezi wa Septemba na skuli. Nimerejea Mlimani kufukuzia 'nondo' (Michuzi style) ya M.A. Linguistics.Shule ngumu hii!!
I wish I had not come to school at all!!!!
Hapo vipi? ila ntakuwepo nyakati 'flan-flan'
Ntamaliza tu. Penye nia pana njia ila nahitaji kukumbushia msuli wa long time.
Oooopss!!!!! Kumbe sijaanza kuaandika assignment za kukusanya kesho. Sijui nisingizie kuumwa?