Friday, December 07, 2007

NIMEPOTELEA HUKU JAMANI!!!
Pengine wengine mmekuwa mkijiuliza vipi mbona kimya kimezidi basi jibu ni hili nimefungwa kuanzia mwezi wa Septemba na skuli. Nimerejea Mlimani kufukuzia 'nondo' (Michuzi style) ya M.A. Linguistics.Shule ngumu hii!!
I wish I had not come to school at all!!!!
Hapo vipi? ila ntakuwepo nyakati 'flan-flan'
Ntamaliza tu. Penye nia pana njia ila nahitaji kukumbushia msuli wa long time.
Oooopss!!!!! Kumbe sijaanza kuaandika assignment za kukusanya kesho. Sijui nisingizie kuumwa?

5 Comments:

At 9:25 AM, Blogger Egidio Ndabagoye said...

Mkuu ni wewe umeingia chimbo tena?.Safi sana

 
At 7:16 AM, Blogger Christian Bwaya said...

Hongera sana Baragumu. Shule muhimu. Ila mkubwa usipotee kabisa kabisa. Mara moja moja sio mbaya. Tusilimisi Baragumu.

 
At 10:41 AM, Blogger N N said...

Elimu muhimu na ngumu.
Tungekuwa na elimu basi wajeuri wa kiyahudi wasingetuchukua kuwa watumwa , au kuwa nchi ya kikoloni, au kutuibia pesa leo.
Kumbuka kaka wataalamu wa dunia hii ni hatari. Utadhani kuwa ubadhilifu na ufisadi wote uko hapo tza tu, lakini ukweli ni kwamba umeenea kote. Waenezao haya ni wachache tu duniani. Na haya yalianza zamani.
Ingia website hizi uone.
http://judicial-inc.biz/slave_traders_.htm,
http://judicial-inc.biz/b.lood_diamonds.htm,
http://judicial-inc.biz/J_oran_va_der_sloot_supplement.htm,
http://judicial-inc.biz/thersea_heinz_kerry_bio.htm,
http://judicial-inc.biz/1.osephardim_of_curacao.htm,
http://judicial-inc.biz/j_history_caribbean_jews.htm,
http://www.blacksandjews.com/Jews.of.Black.Holocaust.ag.html,
http://sunray22b.net/slavery.htm,
www.jewwatch.com, www.erichufschmid.net, www.iamthewitness.com, www.prothink.org.

 
At 5:35 AM, Blogger Simon Kitururu said...

Kila la kheri Mkuu!Tuko Pamoja!

 
At 9:50 PM, Blogger Pusat Perkasa said...

vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada Asli
vimax canada Asli
vimax canada Asli
vimax canada Asli
vimax canada Asli

 

Post a Comment

<< Home