Friday, July 20, 2007

MBEYA KWENDA KYELA
Jana nilijipa safari ya kwenda Kyela kwa kuendesha mwenyewe. Njiani hizi zilinifurahisha.

Ukungu maeneo ya Kiwira kuelekea Tukuyu
Ukungu
Ukungu umeisha
Mjini Tukuyu

Mbeleni sikupiga tena. Nilianza kuchoka.

Alamsiki

DAR TO MBEYA
Hivi majuzi nilisafiri kutoka Dar kuja huku kwetu kwenye baridi. Njiani nilipi-gapiga tupicha lakini hizi nilizipenda.
MILIMA YA ULUGURU KUTOKEA STENDI ZA MABASI YA HOOD HOOD MJINI MOROGORO
MTO RUAHA UNAOTENGANISHA MKOA WA MOROGORO NA IRINGA
MCHOMA MAHINDI KATIKATI YA MLIMA KITONGA
VIJANA WAKIPIMANA NGUVU (NGUMI) UYOLE, MBEYA