SAUTI YA BARAGUMU
WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
9 Comments:
tunasubiri vituzzzz toka kyela na itungi
kaka nimekutag utueleze mambo nane tusiyojua kuhusu wewe.poleni na baridi la hapo mbeya ukungu unatisha uo duh!
Sawasawa Kaka.
Tunashukuru kwa picha.
Kama utapata muda basi usisahau kupita pale mahali panapoitwa daraja la 'Mungu' na kutupatia picha zake.
Kila la heri.
Safi sana picha nzuri toka mbeya na blog nzuri pia check hii yangu
iko vipi www.kennedytz.blogspot.com
Wababe wote wa hapo stendi na sokoni tky ni jamaa ninaowaelewa vizuri hivyo hupita hapo bila wasi...Barabara hio inayopandisha kilimani kushoto inaenda makao makuu ya landmark hotel baada ya benki nbc kuna round about..kuelekea majengo chini ya milima ya tky unakutana na kijiji cha ndionga ni mahala muhimu sana kwangu binafsi shukrani sauti ya baragumu
kinacho nisibu ni vijana wa tky kukaa maeneo ya stendi,sokoni na uwanjani C.C.M bila kazi.hilo kwangu ni tatizo.sio hapo tu hata katumba na uyole mambo ni hayo hayo tu.nina ombi naomba update ya soka la TUKUYU.
Samahani, natoka nje ya somo!
Njoo tumalizie kujadili kipengele, ili tuende kwenye hatua nyingine ya kuboresha wanajumuiya wa jumuiya ya Watanzania wanao tembelea au wanao blogi.
Tembelea hapa : http://blogutanzania.blogspot.com/
ilia tumalize kujazia dondoo ili tu anze na kipengele kingine.
Idumu JUMUWATA!
Motowaka mambo vipi, naona mambo yako yanawaka kama moto. Keep it up kama, fanya akama ulivyokuwa majuu...tuko sambamba
Yes..yes.. tuletee hizo kitu
Post a Comment
<< Home