Monday, March 12, 2007

Jiwe Limebakwa Au

Jiwe hili liko kandokando ya barabara ya Iringa/Mbeya-Dar es Salaam, kidogo kabla ya kufika Ilula ukitokea Iringa. Baadhi ya watu wanasema ni ubunifu wa hali ya juu ya kijasiriamali na wengine wanadai ni uchafuzi wa mazingira. Eti jiwe limeonewa kwa kunyang’anywa uasilia wake. Mie sijui.

4 Comments:

At 7:24 AM, Blogger MTANZANIA. said...

Baragumu limelia!
Mwaipopo ulikuwa kimya sana mzee tokea utimize mwaka 1. Lakini kuhusu mada hata mimi naona hiyo si halali jamaa kulifanya jiwe kuwa bango la matangazo. Ukiachilia mbali uchafuzi, hivi wahusika wanalipa kodi?

 
At 10:08 AM, Blogger Mikundu Matako Makalio Manundu said...

Hayo ndio maendeleo ys Biashara huria...haya msisahau kumpitia Mzee wa mikundu kwenye blogu yake mpya:

http://mikundu.blogspot.com/

 
At 2:52 AM, Blogger Egidio Ndabagoye said...

Umenikumbusha.Kuna sehemu niliona jiwe kama ilo ila kuna unyayo wa mtu mkubwa kuliko huu wetu.Ile sehemu nilikuwa naishangaa sana.
Mpaka leo sijajua unyayo ule ni wanani na ni vipi jamaa alikanyaga na alama zikabaki pale

 
At 7:55 AM, Blogger Unknown said...

---.---

 

Post a Comment

<< Home