WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
posted by John Mwaipopo @ 4:01 AM 5 comments
hapo ni tokyo mkabara na soko kuu na mlango wa pili toka duka la kina mkakile. picha umepiga huku ukikoswakoswa na daladala za kwenda masoko tokea kituo kikuu upande wako wa kulia...
Michuzi we mkalikweli ni Tukuyu. Ila nilikuwa ndani ya Coaster nikitokea Kyela kumsalimia bibi yangu Ndimbumi.
hahahaaa!sema pengine, hapo nimesota sana enzi hizo, hata uniamshe usingizini sehemu yoyote ya tokyo ntaijua tu.umekuwa mvivu siku hizi ticha!
hatari, bonge la chemsha bongo... msisahau kumpitia...http://mikundu.blogspot.com/
kaka umekuwa mvivu (au mvuvi, ndo maana uko bize) siku hizi!
Post a Comment
<< Home
Napenda kusikiliza na kuchangia mawazo mapya kila yanapojitokeza
View my complete profile
5 Comments:
hapo ni tokyo mkabara na soko kuu na mlango wa pili toka duka la kina mkakile. picha umepiga huku ukikoswakoswa na daladala za kwenda masoko tokea kituo kikuu upande wako wa kulia...
Michuzi we mkalikweli ni Tukuyu. Ila nilikuwa ndani ya Coaster nikitokea Kyela kumsalimia bibi yangu Ndimbumi.
hahahaaa!
sema pengine, hapo nimesota sana enzi hizo, hata uniamshe usingizini sehemu yoyote ya tokyo ntaijua tu.
umekuwa mvivu siku hizi ticha!
hatari, bonge la chemsha bongo... msisahau kumpitia...
http://mikundu.blogspot.com/
kaka umekuwa mvivu (au mvuvi, ndo maana uko bize) siku hizi!
Post a Comment
<< Home