NGUVU YA MABLOGU
pichani mamblogu yalivyokuwa yakionekana leo
Mablogu mengi leo yalilipoti kifo cha mnajimu huyu. Pengine ni kwa umaarufu wake aliojijengea tanzania kwa zaidi ya miaka 40, umaarufu ambao hivi karibuni kuna watu walianza kuutia shaka.
Mungu aiweke roho ya marehemu/hayati mahali anapostahili
Ninachojifunza hapa kuhuhu kublogu ni kuwa kumbe mablogu yanaweza kupeleka ujumbe fulani kwa haraka na kufaniniksha jambo fulani. au?
Labels: nguvu ya blogu

