Friday, May 20, 2011

NGUVU YA MABLOGUpichani mamblogu yalivyokuwa yakionekana leo

Mablogu mengi leo yalilipoti kifo cha mnajimu huyu. Pengine ni kwa umaarufu wake aliojijengea tanzania kwa zaidi ya miaka 40, umaarufu ambao hivi karibuni kuna watu walianza kuutia shaka.

Mungu aiweke roho ya marehemu/hayati mahali anapostahili

Ninachojifunza hapa kuhuhu kublogu ni kuwa kumbe mablogu yanaweza kupeleka ujumbe fulani kwa haraka na kufaniniksha jambo fulani. au?

Labels:

3 Comments:

At 2:42 PM, Blogger SIMON KITURURU said...

Ebwana haya Mablogu yanafikisha ujumbe! SI ndio maana Ze UTAMU ikabidi mpaka Rais aingilie kati?

 
At 1:02 AM, Blogger John Mwaipopo said...

kimbe ni prezdaa mwenyewe ndio alitia ubani ze utamu ifutiliwe mbali? du!

 
At 6:43 AM, Blogger Raymond Mkandawile said...

Ni kweli kaka Mwaipopo na tunahitaji support inapobidi..

 

Post a Comment

<< Home