Monday, February 14, 2011

GUARDIAN ANGEL



Kule Swahili Time nikutana na habari ya Kitabu hiki. Kimeandikwa na mganda mmoja kuhusu viongozi wa zamani wa Afrika Mashariki kama Idd Amin, Julius Nyerere, Milton Obote na wengine. Kinachambuliwa kuwa kinatoa wasifu wa hawa watu kwa sura nyingine ambayo wengi hatuijui. Stori zaidi soma hapa.

Nauliza upatikanaji wake. Kuna mtu anaweza kukileta Tanzania?

Labels: