Monday, February 14, 2011

GUARDIAN ANGELKule Swahili Time nikutana na habari ya Kitabu hiki. Kimeandikwa na mganda mmoja kuhusu viongozi wa zamani wa Afrika Mashariki kama Idd Amin, Julius Nyerere, Milton Obote na wengine. Kinachambuliwa kuwa kinatoa wasifu wa hawa watu kwa sura nyingine ambayo wengi hatuijui. Stori zaidi soma hapa.

Nauliza upatikanaji wake. Kuna mtu anaweza kukileta Tanzania?

Labels:

2 Comments:

At 11:25 AM, Blogger Goodman Manyanya Phiri said...

Inasemekana majeruhi ya kwanza katika vita yoyote ile, ni UKWELI

 
At 8:05 AM, Blogger SIMON KITURURU said...

@Goodman:
Ni kweli kabisa hilo mimi naamini!

 

Post a Comment

<< Home