Friday, November 19, 2010

KINGO LEO

Zawadi kwa Candy1


Akiwinda kitoweo kwa mshale


Ndege kadaka mshale wa kingo


"Don't hunt what you can't kill." kimesanuka

Labels:

Monday, November 08, 2010

MAMBO YA KINGO
Mlio ughaibuni pengine mmeikosa kwa muda mrefu sanaa ya James Gayo. Ni sanaa ya katuni zinazopeleka ujumbe pasi na maneno tamkwa. Nikinunua gazeti la Mwananchi huwa naaza kwa Kingo


Hapa anaona gari lake linaungua. Anahitaji kizima moto



Hapa anawafuata washikaji wanapata bia wamsaidie 'maji' ya kuzimia moto unaoteketeza 'mgongo wa kobe' wake


Haikuwa taabu kwani majamaa yalikuwa na hazina ya 'maji'

Labels: ,