Monday, November 08, 2010

MAMBO YA KINGO
Mlio ughaibuni pengine mmeikosa kwa muda mrefu sanaa ya James Gayo. Ni sanaa ya katuni zinazopeleka ujumbe pasi na maneno tamkwa. Nikinunua gazeti la Mwananchi huwa naaza kwa Kingo


Hapa anaona gari lake linaungua. Anahitaji kizima motoHapa anawafuata washikaji wanapata bia wamsaidie 'maji' ya kuzimia moto unaoteketeza 'mgongo wa kobe' wake


Haikuwa taabu kwani majamaa yalikuwa na hazina ya 'maji'

Labels: ,

4 Comments:

At 4:58 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

ha ha ha haaaaaa kazi kwelikweli au niseme raha kwelikweli!

 
At 5:30 AM, Blogger Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Hata mimi nazipenda sana katuni za Gayo. Inahitaji ubunifu wa hali ya juu kuweza kuja na mada ya kufikirisha kama hii kila siku. Kila mtu na kipaji chake ati!

 
At 8:25 PM, Blogger Candy1 said...

daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!! Kwa kweli kaka John unaweza kuweka hizi za Kingo more often? It is the best cartoon in the world! Hahahahaha

 
At 11:25 PM, Blogger John Mwaipopo said...

candy1 nitajitahidi

 

Post a Comment

<< Home