Thursday, July 28, 2011

KATUNI YA WIKI



...Nionavyo mimi, lakini.

Labels:

Monday, July 25, 2011

KWAHERI PROF SAMUEL MUSHI



Prof Samuel Mushi (pichani)hatunaye. Nimeweka tanzia hii kama kumbukumbu yangu binafi kwani alikuwa mshauri wangu binafi wa kitaaluma (academic adviser )nilipokuwa UDSM (2000-2003)

RIP PROFESSOR!

Labels:

Thursday, July 21, 2011

MRISHO NGASSA: TUKIWEZESHWA TUNAWEZA



Mbongo Mrisho ngassa akikamua vilivyo na mchezaji wa Manchester United yeye akichezea Seattle Jana. Naam tukiwezeshwa ....

Tuesday, July 12, 2011

KIGODA CHA NYERERE: KINA KASORO



JE WEWE UNAIONA KAMA NINAVYOIONA MIMI. SOMA HAPA HABARI KAMILI

Labels: