Malangali High School 1998
Leo tena nimepekua na kuikuta hii niliyopigwa mwaka 1998. Darasa lenyewe mie leo hoi. Nilikuwa nimekibwaga kitabu Petals of Blood cha gwiji Ngugi wa Thiong'o (kulia mezani) na badala yake nikazama kwenye fani niliyokuwa niikiizimia: Kuchora. Ukitaka tugombane leo niambia nichore hata Fido Digo.
Labels: coming of age


2 Comments:
Sawa kabisa mr. Inapendeza sana blogu yako yangu ni www.heradiuspaschal.blogspot.com
Kuchora? Napenda sana sanaa hiyo japo nilijikuta nikiipa kisogo. Niliko hakuhusiani sana na uwezo wangu wa kuchora.
Poor talent utilization? Bila shaka.
Post a Comment
<< Home