Malangali High School 1998 Leo tena nimepekua na kuikuta hii niliyopigwa mwaka 1998. Darasa lenyewe mie leo hoi. Nilikuwa nimekibwaga kitabu Petals of Blood cha gwiji Ngugi wa Thiong'o (kulia mezani) na badala yake nikazama kwenye fani niliyokuwa niikiizimia: Kuchora. Ukitaka tugombane leo niambia nichore hata Fido Digo.
Labels: coming of age