Saturday, June 05, 2010

DUNIA INAPOCHEZA SOKA LA AFRIKA YA KUSINI

Kila mtu sasa anajua kombe la dunia ndio hilo araundi ze kona. hakika Duni imepigishwa kwata kucheza mpira katika mahadhi ya ki-Afrika ya Kusini. Na twende pamoja sasa...



Makarapa ni vazi la kichwani kwa vichaa wa soka Afrika ya Kusini.



Vuvuzela ndio Baragumu la soka huko Kunako shughuli. Hili hupagawisha wachezaji na washabiki wasioliewa. Linasubiriwa tamko baada ya mechi chache za awali kuwa liruhusiwe kuendelea ama la.


KWINGINEKO.
Mchambuzi wa soka hasa linapokuwa ni Kombe la Dunia, Madaraka Nyerere wa kijijini Butiama, anabashiri timu hizi zitaingia raundi ya Pili:

Group A - France and Mexico
Group B - Argentina and Nigeria
Group C - England and USA
Group D - Germany and Serbia
Group E - Netherlands and Cameroon
Group F - Italy and Paraguay
Group G - Brazil and Portugal
Group H - Spain and Switzerland

Anadai...

If I get a 75 of my predictions right, I will consider changing careers and move into predicting future events. Soma zaidi hapa.

Labels: , ,

1 Comments:

At 11:15 AM, Blogger Fadhy Mtanga said...

Nami nilishaweka bayana juu ya ushabiki wangu wa damu kwa timu ya Uingereza. Tafadhali sana isidhaniwe nashabikia Uingereza kwa sababu alikuwa mkoloni wetu, la hasha. Ni kwa sababu naipenda.

Juu ya utabiri wa Madaraka. Nami ntafuatilia kuona utabiri wake ukoje. Ila kwa ushauri wangu. Hata akifanikiwa kwa asilimia 50 tu, tafadhali sana abadili keria awe mtabiri maana yule sheikh wa Mwembechai huwa sioni kama hata asilimia kumi ya utabiri wake huwa unakuwa sawa.

 

Post a Comment

<< Home