Saturday, May 29, 2010

HAKUNA TENA FEGI

Annivesary Zingine... sikiliza..


Fegi ni hatari kwa mvutaji

Keshokutwa 31/05/2010 ni siku ya kupiga vita matumizi ya bidhaa za tumbaku(Sio lazima kuisoma hapa na hapa). Bidhaa mashuhuri ya tumbaku ni sigara. Nilikuwa mvutaji mzuri sana wa fegi kwa miaka kadhaa hivi. Mwaka jana tarehe kama ya leo (29/05/2009)niliona share yangu ya kuvuta fegi inatosha. Naam sijatumia kitu hicho kwa mwaka sasa na sikusubiri siku ya kujaribu kuacha ama kupunguza. Kwa mnaoendelea kuvuta hebu fikirini upya kwa kupima faida na hasara. Hapa kwenye hasara nadhani hatubishani. Binadamu bila sigara inawezekana!

Dhima ya siku ya kuacha kuvuta sigara mwaka huu inalenga katika kupunguza matumizi hayo kwa wanawake. HAPPY NO TOBACCO DAY!

Labels:

4 Comments:

At 12:39 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

Ulifanya vizuri kuacha kuvuta maana hii nikujitafutia kifo.

 
At 4:02 AM, Blogger Fadhy Mtanga said...

Kwa nini uliacha mkuu? Lakini naupongeza sana uamuzi wako.

Hizi siku za maadhimisho bwana....sijui lini kutaanza No Sex Day

 
At 6:29 AM, Blogger John Mwaipopo said...

du. no sex day. hii itakuwa siku ya mwisho kabisa ya dunia.

 
At 1:26 AM, Blogger poker said...

PROMO DELIMA
poker online | Agen Domino | Agen Poker|Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | bandar qiu | Judi online terpercaya

Bonus yang kami sediakan :
* TO (Turn over) sebesar 0.3% yang akan di kami bagikan setiap hari senin
* Bonus referal sebesar 10%

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat.
Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: Facebook
Phone number_: +85595678845

 

Post a Comment

<< Home