Thursday, May 13, 2010

Nani Huyu?'a healthy mind dwells in a healthy body'
Sasa ile ligi inayotupa kichaa ya Uingereza imekwisha, tena vizuri, basi sasa raha ni kujipa wenyewe. Way back in his final year UDSM 2002. Mhh! anataka kurejea enzi zake sijui ataweza? ijumaa njema.

Labels: ,

5 Comments:

At 3:11 AM, Blogger Fadhy Mtanga said...

"ligi ya Uingereza imekwisha, tena vizuri"

Kaka John una mbwembwe kweli. Bado unachokoza tu watu.

Hongera sana. Mimi nafikiria sana nianze mazoezi ya mpira nikumbuke school years.

 
At 3:42 PM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

haha mtani hujachelewa kweli:-)

 
At 12:08 AM, Blogger kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

safi sana. nimehamia mikoani ili pamoja na mambo mengine nipate muda wa mazoezi, kinyume chake nimenenepeana huuyoooo.

 
At 9:11 AM, Blogger SIMON KITURURU said...

Penye nia pana njia!

 
At 10:40 AM, Blogger Bwaya said...

Safi sana mkubwa

 

Post a Comment

<< Home