Tuesday, April 27, 2010

Ndio ishakula kwangu au?

nimejaribu kufungua mafaili yaliyomo katika flash disk yangu lakini imeshindikana. yaliyokataa kufunguka ni ya adobe na microsoft word. Sasa nikifungua ya microsoft word ndio nakutana na ujumbe huu (kwa kizunfu) hapa chini. sasa ndio ishakula kwangu kwamba siwezi kuyapata tena au nifuate masharti yake. yamo mafaili muhimu sana. nisaidieni.

Sorry I am really sorry. I don't want to do it again. This is my first and may be the last if you agree to help me.

Do you want to get your files back? That is so easy just do this. I want you to write a mail to
Zlovel_4evr@yahoo.com
stating how much I loved her.

You knowà I gave her everything I had, my heart my phaseà. all what I can and had but she gave me nothing
except pain. Now she leaves me alone and I am felling now empty inside. I can't to live without her. That is why I
burnt your files. I know may be this file is vital for you as your mail is for me. Be sure I will give your files back with
out any damage. Be sure and trust me.

Take a minute from your busy time and write a nice message to her. Then you will get all your files as befor.

Thank you for your cooperation. And I hope you will give me a pardon for my miss use of knowledge. I did it
because I left with no other option.

Labels:

5 Comments:

At 6:50 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

Pole sana kaka John!

 
At 7:54 AM, Blogger Subi Nukta said...

John,
copy na kisha paste mistari michache ya huo ujumbe kwenye google.com, basi utaona majibu ya watu wengi ambao wameripoti kuumizwa na virusi aliyepo kwenye tarakilishi yako ambaye ndiye amebadili mafaili yako na kuweka ujumbe huo unaouona kila unapotaka kuyafungua. Nimeweka tu anwani pepe ya huyo anayesema mwandikie (Zlovel_4evr@yahoo.com) kwenye google.com, na majibu ni mengi sana, ikiwapo mojawapo lipo JamiiForums kwa Watanzania na inaelekea aliyepoteza nyaraka zake alifanikiwa kuzipata baada ya kufauta maelekezo, linki yake hi nii:
http://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/31279-virus-huyu-amenitia-hasara-nifanyeje.html
Pole jirani!

 
At 9:52 AM, Blogger John Mwaipopo said...

yasinta asante kwa pole ya maumivu.

subi asante kwa msaada wa kiufundi. ntazingatia na jibu ntalitoa hapa hapa.

 
At 10:28 AM, Blogger Fadhy Mtanga said...

Pole sana kaka.

Wakati nasoma post yako wazo langu likuwa kwenye maoni nikwambia umkonzalti Waziri wa Mambo ya Mtandaoni Mhe. Subi.

Kuja humu kumbe kishachukua nafasi.

Ahsante sana da Subi kwa kutujali daima. Wacha nami nichukue kauzoefu maana hawa hiv wa kompyuta hawana adabu kabisa

 
At 3:31 PM, Blogger Christian Bwaya said...

Huyo mdudu ana label ya naked woman. Ni balaa. Nimegundua ukitumia kompyuta ya ´maknitoshi´unayakuta mafaili yako kama kawa. Anaonea ´makrosofti´ lakini inaelekea kwa ´maknitoshi´hana jeuri.

Jaribu kutafuta kompyuta hiyo unacheka mwenyewe.

 

Post a Comment

<< Home