Friday, April 09, 2010

Tuikaribishe Blogu ya Maendeleo ya Jamii

Huyu jamaa E. Akyoo amekuwa muumini mzuri wa blogu za wabongo. Hatimaye naye ameona ajiunge na ulimwengu wa ku-blogu ili atujuze/atushirikishe mambo ya maendeleo ya jamii na mambo mengine pia. Hebu tukamsabahi na kumkaribisha hapa.

Labels:

1 Comments:

At 6:34 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

karibu sana!

 

Post a Comment

<< Home